ZICHEKI PICHA ZA SCENES ZA MOVIE YA MWISHO YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA LOVE AND POWER

April 7, 2012 ni siku Steven Kanumba aliyofariki katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake watanzania kutoka sehemu mbalimbali watakutana kwenye tamasha la bure pale Leaders club kwa lengo la kumuenzi na kuangalia yale aliyofanya katika enzi za uhai wake pamoja na uzinduzi wa filamu yake ya mwisho, Love and Power. Hizi ni baadhi ya picha kwenye filamu hiyo.








Previous Post Next Post

Popular Items