MABARAZA YA KATIBA KUANZA MWEZI JUNI, 2013


IMG 8497 55136
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mkutano na waandishi wa vyombo vya habari aliokutana leo katika ofisi za Tume hiyo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.
                                                  (PICHA NA TUME YA KATIBA)
Previous Post Next Post