Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa cha jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi mbalimbali wakipata maelezo juu ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kigoma toka kwa mhandisi George Sambali
wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
Msanii Diamond na kundi lake wakitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Phillipe Dongier akitoa hotuba kwa kiswahili fasaha wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wa Kigoma wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Januari 4, 2013
PICHA NA IKULU