KATIBU MKUU WIZARA YA MIUNDO MBINU NA MAWASILIANOATEMBELEA KARAKANA


NAFISA d8ea5
Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Maliki Juma Akili akipata maelezo kutoka kwa fundi Tall wa Karakana ktk sehemu ya kipimo cha Injector pump alipokuwa akigagua shuhuli mbali mbali za Karakana Kuu ya Serekali ya Zanzibar.


Picha na Nafisa M.Ali-Maelezo Zanzibar.
Previous Post Next Post