DKT.BILAL AENDELEA NA ZIARA MAREKANI


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akizungumza na Seneta, Stive King, wakati alipofika katika Ofisi yake iliyopo katika jingo la Ofisi za Maseneta wa Marekani, akiwa katika ziara yake ya siku nne katika jiji la Washngton Dc nchini Marekani, Feb 6, 2013.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton
Dc, Feb 6, 2013.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton Dc, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Feb 6, 2013, katika Hoteli ya Omni Shoreham.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani
katika jiji la Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao alipowasili jijini humo
kuanza ziara yake ya siku nne, iliyomalizika jana Feb 7, 2013. Wa kwanza
(kushoto) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa tano
kutoka kushoto) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mahadhi
Juma Maalim. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Previous Post Next Post