CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM INATOA TAARIFA KWA UMMA KWAMBA CHUO
KIMEANZISHA HUDUMA ZIFUATAZO;
1. ENGLISH LANGUAGE PROFICIENCY TEST
2. KOZI MAALUMU YA ‘KISWAHILI FOR BEGINNERS’
3. HUDUMA YA KUTAFSIRI KATIKA LUGHA ZA KIMATAIFA
Kwa taarifa zaidi wasiliana na;
www.duce.ac.tz.