Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kushoto)akiangalia Utamaduni wa Ususi wa Kindu ambazo hutengezewa vitu mbalimbali,makawa, Mikeka hata Mikoba katika moja ya maduka alioingia katika Sehemu za Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
PICHA NO-0825-Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kulia)akipata maelezo ya Vifaa alivyokuwa akitumia Mfalme Said Bin Sultan kwa Mkurugenzi Idara ya Makumbusho Dk Amina Amei Issa baada ya kutembelea jumba Wananchi Forodhani ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (wanne kutoka kushoto)akitembelea sehemu za Mji Mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.