WAZIRI MKUU AREJEA DAR ES SALAAM



IMG_0037
Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anajadiliana jambo na  Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa baada yakushuka katika ndege uwanja wa Dsm wakitokea Dodoma Mh Pinda alikuwa Dodoma ambako alifungua mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Serekali za Mitaa  nyuma yao ni
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa (TAMISEMI)  Mh. Hawa Ghasia wakiwa na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Rugimbana ambaye alikuja kumpokea waziri mkuu uwanjani hapo picha na Hamza Botea
Previous Post Next Post