WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA TV KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA (KIJIJI CHA MATUMAINI ) DODOMA


IMG_1328
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kituo cha Kijiji cha Matumaini mjini Dodoma ,mara baada ya kutoa msaada wa Luninga bapa (Flat Screen Televition) katika kituo hicho kinacholea watoto yatima  kulia kwa waziri mkuu ni
mkuu wa kituo hicho Father Vicent  Boseri na anayefuatia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa  (TAMISEMI) Mh. Hawa Ghasia
                                      (Picha na Godfrey David)

Previous Post Next Post