
Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiimba wimbo wa mshikamano kabla ya kuanza mkutano mkuu wa Baraza la wafanyakazi wa Serekali za mitaa Talgwu jana amabao una fanyika mjini Dodoma kushoto kwa waziri mkuu ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa( Tamisemi) Mh Hawa Ghasia na kulia kwa waziri mkuu ni mwenyekiti wa (Talgwu) Edna Mwaigomole pamoja naviongozi wengine Picha na Chris Mfinanga

Mh. Waziri mkuu Mizengo Pinda akizindua Tovuti ya chama cha wafanyakazi wa wa serekali za mitaa kulia kwa waziri mkuu anaye shuhudia uzinduzi huo ni Mwenyekiti wa chama hicho Bibi Edna Mwaigomole na aliye vaa tai ni mtalamu wa kompyuta uzinduzi ume fanyika leo mjini Dodoma Picha na Boniface Evodious
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mjini Dodoma baada ya kuuzindua.
Mh. Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwasili kufungua mkutano mkuu wa Baraza la wafanyakazi wa serekali za mitaa Talgwu kushoto kwa waziri mkuu ni Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Tawala za mikoa (Tamisemi) Mh Hawa Ghasia na kulia ni Mwenyekiti wa Talgwu Edna Mwaigomole mkutano huo unafanyika mkoani Dodoma Picha na Chris Mfinanga