RAISI WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AHUDHURIA DHIFA YA HALAIKI


DSC05814
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akipata Chakula katika Dhifa maalum alioiandaa kwa ajili ya kuwapongeza na kula chakula pamoja nao Vijana wa Halaiki na walimu wao waliofanikisha katika Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
DSC05820
Vijana wa Halaiki wakipata Dhifa Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Kuwapongeza kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.

DSC05826
Vijana wa Halaiki wakipata Dhifa Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya Kuwapongeza kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar.
DSC05831
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akitoa hotuba ya Shukurani kwa niaba ya Rais kwa Vijana wa Halaiki pamoja na Walimu wao kwa kufanikisha Sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Bwawani Hotel Zanzibar
DSC05845Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu mbalimbali pamoja na Viongozi wa Vijana wa Halaiki waliohudhuria katika Dhifa ya Pamoja ilioandaliwa hapo Bwawani Hotel Zanzibar
DSC05850
Viongozi wa Halaiki waliohudhuria katika dhifa ya pamoja na Rais wa Zanzibar ilioandaliwa hapo Bwawani Hotel Zanzibar.
 PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI-MAELEZO ZANZIBAR.
Previous Post Next Post

Popular Items

Wajue Wanamuziki 10 Matajir Africa

AS CANNES YAMWAGIA SIFA KAPOMBE