MABINGWA WA MPIRA WA KIKAPU KANDA YA TANO


IMG_1678_1
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akimkabidhi kikombe cha ushindi Kocha wa Timu ya Taifa ya mpira wa kikapu Misri, Tarek Elghannam mara baada ya kupata ushindi katika mchezo wa fainali wa mpira huo wa kanda ya tano ya Afrika uliofanyika jana usiku kwenye uwanja wa ndani wa...
Taifa jijini Dares Salaam. Katika mchezo huo timu hiyo iliibuka mshindi baada ya kupata pointi 82 dhidi ya mpinzani wake Rwanda aliyepata pointi 76.
IMG_1653
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akikagua  Timu ya  Taifa ya mpira wa kikapu  ya Rwanda kabla ya kuanza kwa  mchezo wa fainali wa mpira huo wa kanda ya tano ya Afrika uliofanyika jana usiku kwenye uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dares Salaam.

Previous Post Next Post

Popular Items

Wajue Wanamuziki 10 Matajir Africa

Video: Flavour – Ikwokrikwo