RAISI KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kabla ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni Januari 30. 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza  Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni.(PICHA NA IKULU).

Previous Post Next Post