BREAKING NEWS: DANIEL STURRIDGE AKAMILISHA UHAMISHO WA LIVERPOOL

Mshambuliaji wa England aliyekuwa anaichezea Chelsea Daniel Sturridge amekamilisha rasmi uhamisho wake wa kwenda Liverpool kwa ada ya uhamisho wa £12 million.
Previous Post Next Post