Tanzanite amwandikia lulu wimbo, Sikiliza kionjo hapa

Baada ya ukimya wa muda Msanii wa Bongoflava Tanzanite ameamua kuingia studio na kurekodi wimbo unaomuhusu mwanadada Elizabeth Michale 'Lulu' .Tanzanite ameshare kionjo cha wimbo huo na kuandika hivi #wimbo_wa_lulu #AKA_V_I_P_BOY #MICHAEL_LULU #AKA_V_I_P_BOY



Nae mwandada Lulu baada ya kusikia kionjo cha wimbo huo akusita kutoa yaliyo moyoni mwake na hivi ndivyo alivyosema Awwe ths Love z too much noooow..! Barikiwa kaka@tanza_nite Nakutakia mafanikio Katika hii na nyimbo nyingine zote baada ya hii..! Bless yah🙌❤️

Kupitia kionjo hiki Tanzanite anasisitiza kwa hisia kuwa kimpata Lulu atashukuru na yko radhi hata atozwe ushuru ili mradi tu ampate mwandada lulu aliye na nyota hapa chini, hata hivyo Ukitaka kuupata wimbo huu tumia namba hii utatumiwa WIMBO WA LULU WHATSAPP 0652131651

Previous Post Next Post