Picha: Hii ndio Mijengo Mwili Iliyonunuiwa na P Square Nchini Marekani

Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wanazidi kuwekeza kwa kununua mijengo ya kifahari nchini Marekani. Baada ya mwaka jana kununua nyumba huko San Francisco, mapacha hao sasa wamenunua nyumba mbili za kifahari kwenye mjini wa Buckhead uliopo jijini Atlanda, Georgia nchini Marekani.


Peter ameshare picha za nyumba hizo kwenye Instagram ambapo kwenye picha moja ameandika: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord.”












Image Credit :Instagram/Peter
Previous Post Next Post