BALOZI SEIF ALI IDD ATOA MAONI KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Kamati ya kukusanya Maoni ya Katiba Mpya ya Jamuhuri  ya Muungano wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba na Timu yake akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi walipofika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kupokea Maoni yake. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dr. Salim Ahmed Salim na Kulia ni Mjumbe wa Kamati hiyo Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mh. Agostino Ramadhan.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa Maoni yake binafsi kuhusu Mfumo wa Muundo wa Katiba Mpya ya Muungano wa Tanzania mbele ya Kamati ya kukusanya maoni hayo inayoongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya  Kukusanya Maoni kuhusu Katiba Mpya ya Tanzania mbele ya mlango wa Ofisi yake vuga Mjini Zanzibar.Kulia ya Balozi Seif ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dr. Salim Ahmed Salim, Mwenyekiti wa Kamati  hiyo Jaji Joseph Sinde Warioba na Nd. Abou Bakar. Na Kushoto ya Balozi ni Jaji Maria Koashonda. Picha na Hassan Issa wa –Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

Previous Post Next Post