MSANII ALLY BAUCHA ANATARAJIA KUFANYA SHOW KALI MJINI SWEEDEN


Yule Prod na pia ni msanii wa bongo fleva anajulikana kwa jina la Ally Baucha hivi sasa yupo kwenye jiji la maraha PARIS akila sikukuu na anatarajia kwenda Sweeden kwenye show ya tarehe 31 Dec halafu tarehe 3 Jan ataelekea German kufanya track na msanii mwenzake ambaye aliondoka bongo kitambo anajulikana kwa jina la Snaa Lee halafu tarehe 7 Jan ndio atageuka kurudi Bongo.
Previous Post Next Post