
Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa katika shamba la Ras wa mkoa wa Katavi Eng Emmanuel Kalobelo akiangalia anavyopanda miembe ya kisasa kushoto kwa waziri mkuu ni mkuu wa mkoa wa Katavi Dr. Rajabu Rutengwe anayefuatia ni mwenyekiti wa UWTmkoa wa katavi Anna Lupembe Waziri mkuu yupo katika jimbo lake kuhimiza kilimo na kuwataka viongozi kuwa mfano kwa wana nchi katika kilimo cha kisasa.(picha na Chris Mfinanga).

Ofisa tawala wa mkoa wa katavi Eng Emmanuel Kalobero akimuonyesha waziri mkuu Mizengo Pinda shamba lake ambalo amepanda miembe na mahindi kwa kufuata kanuni bora za kilimo.

Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda akijaribu kupiga Marimba katika wakati kikundi cha hiayari ya moyo ambacho kilikuwa kikitoa burudani katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Songa mbele kata ya Nsimbo.
Tags:
News