Jeshi la polisi mkoani Katavi limepokea jezi za mpira wa mchezo wa miguu kwa lengo kuendeleza uhusiano wa polisi shirikishi. Pichani ni mbunge wa viti malumu mkoa wa Katavi Mh Dr. Prudenciana Kikwembe akimkabidhi Rpc wa Mkoa wa Katavi Kamishina msaidizi wa Jeshi la polisi  Dhahiri  Kidavashari (kulia) na anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Mlele Kanali Ngemera Rubinga makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika kijiji  cha kibaoni  Mkoa wa Katavi.