| wakazi wa jiji la Arusha wakiwa wamejitokeza kwa wingi ili wakionje kinywaji kipya cha Maltiza ambacho hakina kilevi wakati wa uzinduzi wake uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya Sanawari,jijini hapa.Wasanii wa Kikundi cha Hakuna Matata cha jijini Arusha wakitembeza mfano wa Kinywaji kipya cha Maltiza ambacho hakina kilevi kinachotengenezwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa watu mbali mbali waliofika kwenye uzinduzi wake uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya Sanawari,Jijini Arusha. |