WEMA SEPETU AKIWA NA JACLINE WOLPER, BAADA YA PAMBANO LAO.
byNews Tanzania-
0
Wengi niliowasikia wanasema “waliibiwa”.Ngumi hazikuwa zenyewe.Hawakuona “mchuzi” aka damu.Kama hukuwepo kwenye usiku wa matumaini,basi hiki hapa ni kipande kidogo cha video kutoka katika mpambano huo. Mwisho wa siku hakukuwa na mshindi.Ngoma droo.