DIAMOND ATISHA NA KUFANYA MAMBO MAKUBWA DAR LIVE

 Diamond  anayevuma kwa sasa hapa nchini  kifanya onyesho zito na la kukata na shoka mbele ya mashabiki wake  kwenye ukumbi wa Dar Live, onyesho hilo  lililofanyika jana siku ya jumapili na kuvuta hisia za mashabiki wake lukuki waliojitokeza kumshuhudia akishuka na helikopta kama ilivyokuwa imetangazwa na waandaji wa onyesho hilo.
 Mwanamuziki Diamond akiwa kwenye helikopta tayari kuelekea Dar Live.
Hapa nafikiri unaweza kuona ukumbi wa DAR LIVE ulivyopendeza kwa kufurika watu
Hapa akionyesha ishara ya kuwasalimia mashabiki wake kwa heshima.   
 Akiuangalia umati mkubwa uliojitokeza kwenye ukumbi wa Dar Live ili kushuhudia wakati akishuka na helikopta.
Timbulo akifanya vitu na dancers wake
Pah One Kama Kawa Walikuwapo Katika Kuwapagawisha Mashabiki Dar Live.

Previous Post Next Post