T.I. adai hawezi kulazimisha Iggy Azalea na Snoop Dogg wapendane

Rapper T.I.amesema hayupo kwenye nafasi ya kuwafanya Iggy Azalea na Snoop Dogg wapendane.

Rapper huyo alimshawishi Snoop amuombe radhi Iggy baada ya kumkwaza kwa kupost picha ya albino wa kike kwenye Instagram na kudai kuwa ni Iggy pasipo make-up.



“Namheshimu Snoop vya kutosha, namheshimu Iggy vya kutosha, kwa wao kutengeneza maoni ya kuheshimiana kwa yeyote. Wote nawapenda. Na pengine kadri muda unavyokwenda watapata vitu ambavyo wanavipenda na sio kugundua vile wasivyovipenda,” T.I. aliliambia jarida la XXL.
Previous Post Next Post

Popular Items