Behind the Scenes: ‘Kupanda na Kushuka’ Nikki Mbishi, Jide, One & Songa

Rapper Nikki Mbishi ameshare picha zaidi za utengenezaji wa video ya wimbo wake ‘Kupanda na Kushuka’ aliowashirikisha Lady Jaydee, One the Incredible na Songa. Video hiyo imeongozwa na Adam Juma. 


Tazama picha hizo hapo chini.

Adam Juma akielekeza jambo




Nikki Mbishi akiweka Suti yake sawa






Previous Post Next Post