Picha: Hawa ndio Wachezaji wanaoongoza kwa mishahara mikubwa NBA !

Wachezani wa mpira wa kikapu Marekani wanaoongoza wenzao kukamata mshiko mkubwa kwa mwaka huu wa 2014-2015.Ili kujua mpunga halisi kwa upande wa dafu hembu zidisha kwa Tsh 1720 upate tu kionjo cha jamaa wanavuta mshiko kiasi gani.


No. 1 Kobe Bryant, Los Angeles Lakers: $23,500,000


No. 2 Amar’e Stoudemire, New York Knicks: $23,410,988


No. 3 Joe Johnson, Brooklyn Nets: $23,180,790



No. 4 Carmelo Anthony, New York Knicks: $22,458,401


No. 5 Dwight Howard, Houston Rockets: $21,436,271


Previous Post Next Post