T.I. aeleza show ya Serengeti Fiesta na jinsi alivyofurahishwa na Watanzania

Rapper T.I. kutoka marekani  aliyefanya show katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Oktoba 18 ya mwaka 2014 kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam amesimulia aliyokutana nayo.


T.I alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Breakfast Club katika kituo cha redio cha Power 105.1 cha New York, Marekani. Mtazame hapo chini.


Previous Post Next Post

Popular Items