Snoop Dogg ni mmoja wa wamiliki wa mtandao wa Reddit

Mtandao wa Reddit umesema Snoop Dogg ni miongoni mwa wamiliki wa mtandao huo.


Rapper huyo anaungana na muigizaji wa filamu, Jared Leto na watu wengine kama wamiliki wake.



Wakati huo huo Snoop Dogg anatajiandaa kuandaa album yake ya pamoja na Pharrell.
Previous Post Next Post