Rick Ross afanya Collabo na R Kelly, ngoma yao mpya iko hapa unaweza kusikiliza

Boss wa Maybach Music Group (MMG), Rick Ross ameachia single mpya iitwayo ‘Keep Doin’ That (Rich B**ch)’ alhamisi ya wiki hii, wimbo ambao amemshirikisha R.Kelly.




‘Keep Doin’ That (Rich B**ch)’ ndio official single ya kwanza kutoka kwenye album mpya ya Rozay ‘Hood Billionaire’ inayotarajiwa kutoka November 24.


Wimbo huo umefanyiwa shooting Jumatano ya wiki hii huko Georgia, na miongoni mwa mastaa wataoonekana ni pamoja na Young Jeezy.




Rozay ameshare picha chache za behind the scenes







Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa