Picha: T.I. ,Davido, Waje, Victoria Kimani walipozungumza na waandishi wa habari Dar

Chukua muda wako kutazama picha za press conference waliyoifanya Wale Wasanii wa muziki wa kimataifa rapper T.I., Davido, Waje, Patoraking na Victoria Kimani kuhusina na show ya Serengeti Fiesta Dar es Salaam. 


Tazama zaid hapa picha.




T.I akizungumza na waandishi wa habari


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Ganon akizungumza na waandishi wa habari

T.I akizungumza na waandishi wa habari

Wakizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteliya Sea Cliff jijini Dar es Salaam wasanii wao kila mmoja alitoa ahadi ya kufanya show nzuri.

Davido akizungumza na waandishi wa habari


Photo Credit:Bongo5
Previous Post Next Post