Picha Kaa tayari kwa Video hii mpya aliyoifanya Young Killer ft Fid Q, Nisher aamua kukasirika round hii

Director Nisher ndiye anayshoot video mpya ya Young Killer aliyomshirikisha Rapper Mkongwe Fid Q, Kupitia kurasa za Instagram za mastaa hawa walishare picha hizi. Director Nisher aliandika kua 'Tumekasirika Sana round  hii, huku akishare picha kali zinazoonekana katika pcoming video hii ya 13

 Young Killer akiwa na Fid Q


 Nisher akiwa kazini


 Young Killer akifanya yake




alianza fid Q kwa kuandika.....



Fid aliandika katika picha hii: Baada ya kuitazama hii picha.. Nilijikuta nasema hivi—-> ” Jamani huyu @nisherbybee hapendi dharau kabisa emoji ‘ Au mnaniambiaje..!!!???”



“TUMEKASIRIKA SANA ROUNDI HII,” ameandika Nisher kwenye picha ya Young Killer ya video hiyo iliyofanyika kiwandani. “I give you, “YOUNGKILLER” Like You’ve Never seen Before! #XR,” ameandika kwenye picha nyingine.

Previous Post Next Post