Rapper kutoka Yong Money, Drake alienda kwao Toronto nchini Canada kusheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na familia yake, washkaji zake kama Noah “40″ Shebib, OB OBrien na meneja wake Oliver El-Khatib, wote walihudhuria.
Keki ya OVO ilikatwa na Drake ambayeo alipewa tuzo aliyoanzisha ya Hood Grammy, kama “Best Basketball Player of the Year”.
Keki ya OVO ilikatwa na Drake ambayeo alipewa tuzo aliyoanzisha ya Hood Grammy, kama “Best Basketball Player of the Year”.
Tazama picha hapa...