Picha: Bushoke ashoot video mpya aliyopewa shavu na msanii kutoka Uganda Face Off

Mwanamuziki wa Bongo Flava, aliyewahi kuhit na nyimbo kama Dunia Mapito na zinginezo  Bushoke ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini ameshoot video ya wimbo wake mpya akiwa na msanii wa Uganda, Face Off.



Tazama picha hapa....









Previous Post Next Post