Nampenda na kummiss sana mume wangu Wiz Khalifa 'Amber Rose'

Mama Sebastian na Mwanamitindo, Amber Rose amekiri kuwa bado anampenda mume wake Wiz Khalifa licha ya kwamba wameachana.



“Inaumiza,” Rose alijibu baada ya kuulizwa kuhusu anavyokabiliana na talaka. “Mimi ni binadamu, unajua? Nipo kwenye talaka. Nampenda mume wangu, nammiss sana na mambo mabaya hutokea.”

Amber alimshutumu Wiz kuwa alisaliti ndoa yao.
Previous Post Next Post