Kim Kardashian aajiri mtenegeza nguo maalumu wa mtoto wake, Kumtenegenezea nguo za kipekee North

Kim Kardashian anadaiwa kuajiri stylist na mshona nguo maalum kwaajili ya mwanae North mwenye mwaka mmoja atakayekuwa na kazi ya kutengeneza nguo zake.

Kim Kardashian akiwa na Mtoto wake North

Mtu huyo atahakikisha kuwa North anakuwa na nguo za peke yake na zinazompendeza. Chanzo kimeliambia jarida la Grazia kuwa mtu huyo anayelipwa mshahara kama stylist wa North atakuwa akifanya kazi bega kwa bega na timu ya mitindo ya Kim na Kanye kutengeza nguo maalum.

Mtoto wa Kim Kardashian North

Kimesema nguo nyingi za North zinafafana na za mama yake ikiwa ni pamoja na viatu na mikoba.
Previous Post Next Post