Davido kuja Tanzania kwa mara nyingine tena

Msanii kutoka nigeria anayehit na ngoma yake ya Aye na Skelewu 'Davido' anategemea kuja nchini kwa mara ya pili baada ya kuja mara ya kwanza kwenye serengeti fiesta.



Davido Kupiti a instagram amepost....

Hata hivyo haijaweza kujulikana mapema iwapo atakuwepo pia kwenye Fiesta ya Dar mwaka huu. Kuna tetesi zingine kuwa kituo kingine kikubwa cha redio cha Dar ndicho kinamleta.
Paris was great next stops!! LONDON-LAGOS-WARRI-SOUTH AFRICA-NAMIBIA-TANZANIA Lego!!!!
Previous Post Next Post