Behind The Scene video: Tazama jinsi uchukuaji wa Video mpya ya G-unit - Changes ulivyofanyika ukiongozwa na 50 Cent

Baada ya ukimya wa muda mrefu kundi zima la G-unit sasa limeamua kurudi kwa kutoa ngoma mpya kila baada ya muda, chukua muda wako kutazama jinsi video yao mpya ya Changes ilivyokuwa ikichukuliwa huku director wa video hiyo akiwa ni 50 Cent


Tazama hapa....

Previous Post Next Post