Video: Navy Kenzo - I Just want to Love You

Hii hapa ni video mpya kutoka kwa Kundi la Navy Kenzo , baada ya kuachia ngoma yao mpya jana leo wameachia video ya ngoma hiyo inayokwenda kwa jina la 'I Just want to Love You' video imeongozwa na Director Khalfani.



Itazame hapa...
Previous Post Next Post