Video: Huu ndio ukweli kuhusu safari ya P-Square mpaka hapa walipofikia

Kundi la P-Square wamezungumza ukweli wa mambo mengi yanayowahusu kuanzia mwanzo wa safari yao ya muziki iliyoanza miaka 17 iliyopita, familia, album yao mpya, beef yao iliyoandikwa sana, uhusiano wao na Jackson family na mengine, kupitia



‘The Truth’ na mtangazaji wa anayeheshimika Nigeria aitwaye Olisa Adibua.


Previous Post Next Post