
Kimye walinunua jumba hilo January 2013 kwa $9 million na kutumia zaidi ya mwaka mzima kufanya ukarabati ambao umeishia njiani, na sasa wameamua kuiuza kwa $11 million ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 18.

Kimye waliamua kununua mjengo mwingine ambao uko karibu na nyumba ya mama yake na Kim kwa $20 million.
Tazama picha za mjengo huo uliopo sokoni kwa sasa..