Video: Hiki ndio kipande cha video mpya ya Wizkid ‘In My Bed’

Wizkid baada ya kuachia album yake mpya na ya pili, ‘AYO’ ambayo imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye mauzo ya mtandaoni kupitia iTunes ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa September 17, star huyo wa Nigeria ameahidi kuachia video mpya katika siku ya jana (September 22)


Kupitia Instagram ameshare kipande cha video hiyo ya wimbo unaoitwa ‘In My Bed’.
“My new video drops tomorrow! "In my bed"!! #StarBoyshit!” aliandika jana kwenye post hiyo.


Previous Post Next Post