Siwezi kufanya collabo na Nay wa Mitego 'Roma'

Mwana Hip Hop Roma amedai kuwa hawezi kufanya collabo na Nay wa Mitego, je hii ni utani au amemaanisha?



Hii ilianza baada ya kuweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na Nay wa Mitego na kuandika: #Ninja n #EmmanuellyElibarik cc @naytrueboy #WeAllBrotherz Add a cap…..”

Kwa maelezo hayo ilionekana ni picha ya kawaida na kuwa jamaa hao wanaiva pamoja na Nay kumchana kwenye ngoma yake ‘Mr Nay’. Hata hivyo mambo yaligeuka baada ya Daudi wa Kota kumuuliza Roma: Collaboration lini?

Roma alijibu,” Mimi siwezi fanya kollabo na huyu jamaa man.”

Upande wa Bongo61 Tunaamini kuwa ni jokes tu na wala akuna kitu seriously 
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa