Profesa Jay Kuzindua Video Mbili kwa Mpigo Kipi Sijasikia ft Diamond na 3Chafu Jumamosi Hii

Mwanamuziki Mkongwe Profesa Jay anatarajia kuzindua video mbili kwa mpigo huku akiongezea na uzinduzi wa website yake mpya, Uzinduzi huo utafanyika 'TEN LOUNGE' zamamni ilikuwa ikiitwa LETASI LOUNGE 'BUSINESS PARK VICTORIA, wote mnakaribishwa...


Previous Post Next Post