Picha: Producer Man Walter apata jiko, Tazama picha za harusi yake hapa

Producer Man water wa studio ya Combination Sound aka Combinenga ameuaga rasmi ukapela baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Matilda Jimmy weekend iliyopita.


Harusi ya mtayarishaji bora wa mwaka – kizazi kipya (KTMA) ilifanyika katika ukumbi wa Karimjee siku ya Jumamosi September 20.

Tazama picha chache hapa...

  Producer Man Walter akiwa na Mke wake
  Producer Man Walter wakiwa wanaingia kwenye gari aina ya Hammer
 Producer Man Walter akiwa na Mke wake
  Producer Man Walter akiwa na Mke wake
 Producer Man Walter wakiwa na familia katika picha ya pamoja


Picha:Facebook/Manwalter
Previous Post Next Post