Picha: Picha Kali Ulizozimiss kutoka Instgram @shilolekiuno

Katika Mastaa wanaomake headline bongo Shilole ni mmoja wapo, Hii ni kutokana na umaarufu alionao mwanadada huyu katika muziki na filamu,




Leo katika kupitia page tofauti za masataa wa Bongo nilikutana na picha hizi ni kali na wewe mdau wetu upate kuzitia machoni

Chukua muda wako kutazama picha hizi







Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa