Nicki Minaj atangaza tarehe ya kuachia Album yake 'The Pink Print'

Baada ya subira ya muda mrefu, Nicki Minaj ametangaza rasmi tarehe atakayoachia albam yake ya tatu ‘The Pink Print’.



Albam hiyo itaingia sokoni rasmi November 24 na tayari ngoma mbili alizoachia kutoka kwenye albam hiyo zikifanya vizuri sana.

Wimbo wake wa Anaconda hivi sasa umeshika nafasi ya 3 katika Billboard Hot 100.

Angalia video akizungumzia Ushiriki wake kwenye 'The Carter V' ya Lil Wayne:
Previous Post Next Post