Kaa tayari kwa ujio mpya wa Belle 9 ft Joh Makini ' Vitamin Music

Muimbaji wa Bongoflava na Hit Maker wa ngoma kibao, kama wanitamani na zinginezo nyingi, Belle 9 anatarajia kuwaongeza binadamu Vitamin muhimu mwilini, Vitamin Music.


Belle9 amesema kuwa amemshirikisha Joh Makini kwenye wimbo huo uliotayarishwa na producer wa Classic Sounds, Mona Gangster.

Vitamin Music ni jina la album aliyowahi kusema ataitoa msanii huyo. “Album iko palepale, ila mazingira tu ya utoaji kidogo yanahitaji umakini,” amesema Mona.
Previous Post Next Post