Haya ndiyo aliyoyasema Davido baada ya Wizkid na P-Square kutoa album zao

Mwimbaji wa Nigeria Davido, ametumia akaunti yake ya Twitter kuufikisha ujumbe wake kwa wasanii wenzake Wizkid na P Square kuhusu albam zao.


Daavido

Davido amewapongeza wasanii hao ambao albam zao zinafanya vizuri sana kwenye iTunes hivi sasa, Wizkid (AYO) na P Square (Double Trouble).


Previous Post Next Post