Hii ndio mipango ya chini ya kapeti kutoka kwa Ben Pol

Msanii mkali kabisa wa R&B Bongo, Ben Pol ameweka wazi mipango ya chini ya Carpet kufanya kazi na wasanii ambao wanafanya vizuri Afrika Mashariki, akiwepo Sage, Rabbit, Anto Neosoul na Wengine ambao tayari amekwishatengeneza nao 'networking' nzuri.



Ben Pol

Msikilize ha aakiongea


Ben Pol amesema kuwa, kipindi ambacho michongo anayotengeneza na wasanii hawa itakapokamilika atawajulisha mashabiki wake, akiamini kuwa kitakachotengenezwa katika muunganiko huu kitaleta ladha nyingine kabisa katika tasnia ya Burudani.


Rabbit (Kaka Sungura)

Anto Neosoul


Sage
Previous Post Next Post