Davido kushoot video mbili wiki hii ndani ya New York City 'Marekani'

Baada ya Wizkid na Iyanya kuachia video zao mpya ambazo wote wameshoot Marekani hivi karibuni, hit maker wa ‘Aye’, Davido naye anatarajia kushoot video mbili kwa mpigo jijini New York, Marekani wiki hii.

Davido
Musician


Davido katumia facebook yake kuwatangazia dancers na warembo wa Marekani watakaopenda kushiriki kwenye video hiyo.



“Shooting 2 videos this week in NYC… Need amazing dancers,beautiful ladies for lead role & extras to come party with us… let’s ball and turn up for NEW YORK CITY one more time!…”
Previous Post Next Post